Cheed ana sauti ya kipekee

Cheed ana sauti ya kipekee

Raymanu KE

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2022
Posts
8,611
Reaction score
16,118
Mimi ni shabiki sugu sana wa muziki haswa Bongofleva.Nilianza kuelewa muziki toka Niko mtoto Sana.

Lakini toka nimeanza kufuatilia muziki kamwe sijawahi ona msanii mwenye sauti nzuri na iliyo tamu kupitiliza Kama ya Cheed wa Kondegang.Kiukweli huyu mwana kajaliwa na sauti ya kipekee ambayo Ni nadra Sana kwa wasaniu wengi.

Ni msanii ambaye ndo Kwanza anachipukia na naamini akipewa support ya kutosha kutoka kwenye Label yake ya Kodegang, meneja wake na mashabiki zake kea ujumla bila Shaka atafika mbali.

Nyimbo zake Bora alizowahi kuachia Ni For you akimshirikisha Marioo,Masozy,Toto na Wandia.Juzi Kati aliachia dude Kali Sana linalosumbua airwaves kwa Sasa linaloitwa NDOA.Humo jamaa aliua Sana has a kwenye lyrics na Melody.

Tafadhali tuwapeni support wasaniu wetu wa Africa Mashariki hasa wale wanaoibukia Kama kina Cheed na wengine ili waweza kuzipeperusha benda za nchi zetu katika mataifa mengine kwenye fani ya muziki.
 
Mimi Ni shabiki sugu sana wa muziki haswa Bongofleva.Nilianza kuelewa muziki toka Niko mtoto Sana.

Aiseee...

Siwezi kumweka.kwenye la wenye sauti nziri kihivuo maana anaibana bana ila wandia niliuelewa.

Rama D, Belle 9 Damian Soul, Ben Pol
Wengine hatumjui, ni nani huyo Cheed?.
 
Kwa kumtaja Rama D aisee we jamaa mziki unaujua. Muweke na Q Chilla hapo pia mfikirie na Ditto
Mimi Ditto nasikiaga anaimba kama Tundaman.

Ubanaji wa sauti kwa kulazimisha ili uimbe mpaka sauti zinatokea puani.
 
Mimi Ni shabiki sugu sana wa muziki haswa Bongofleva.Nilianza kuelewa muziki toka Niko mtoto Sana.

Lakini toka nimeanza kufuatilia muziki kamwe sijawahi ona msanii mwenye sauti nzuri na iliyo tamu kupitiliza Kama ya Cheed wa Kondegang.Kiukweli huyu mwana kajaliwa na sauti ya kipekee ambayo Ni nadra Sana kwa wasaniu wengi.

Ni msanii ambaye ndo Kwanza anachipukia na naamini akipewa support ya kutosha kutoka kwenye Label yake ya Kodegang, meneja wake na mashabiki zake kea ujumla bila Shaka atafika mbali.

Nyimbo zake Bora alizowahi kuachia Ni For you akimshirikisha Marioo,Masozy,Toto na Wandia.Juzi Kati aliachia dude Kali Sana linalosumbua airwaves kwa Sasa linaloitwa NDOA.Humo jamaa aliua Sana has a kwenye lyrics na Melody.

Tafadhali tuwapeni support wasaniu wetu wa Africa Mashariki hasa wale wanaoibukia Kama kina Cheed na wengine ili waweza kuzipeperusha benda za nchi zetu katika mataifa mengine kwenye fani ya muziki.
Benpol usimsahau pia Alicom
 
Damian soul naye anaimba sema pigo zake simuelewagi Cheed killy ata yule k2ga wanaimba sana shida hawapo serious na carrier zao

Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom