Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Mimi ni shabiki sugu sana wa muziki haswa Bongofleva.Nilianza kuelewa muziki toka Niko mtoto Sana.
Lakini toka nimeanza kufuatilia muziki kamwe sijawahi ona msanii mwenye sauti nzuri na iliyo tamu kupitiliza Kama ya Cheed wa Kondegang.Kiukweli huyu mwana kajaliwa na sauti ya kipekee ambayo Ni nadra Sana kwa wasaniu wengi.
Ni msanii ambaye ndo Kwanza anachipukia na naamini akipewa support ya kutosha kutoka kwenye Label yake ya Kodegang, meneja wake na mashabiki zake kea ujumla bila Shaka atafika mbali.
Nyimbo zake Bora alizowahi kuachia Ni For you akimshirikisha Marioo,Masozy,Toto na Wandia.Juzi Kati aliachia dude Kali Sana linalosumbua airwaves kwa Sasa linaloitwa NDOA.Humo jamaa aliua Sana has a kwenye lyrics na Melody.
Tafadhali tuwapeni support wasaniu wetu wa Africa Mashariki hasa wale wanaoibukia Kama kina Cheed na wengine ili waweza kuzipeperusha benda za nchi zetu katika mataifa mengine kwenye fani ya muziki.