Chege: Warembo wa video za muziki Bongo wanazingua

Chege: Warembo wa video za muziki Bongo wanazingua

chinchilla coat

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2016
Posts
5,107
Reaction score
10,969
xusher-no-limit-g-mix-1.jpg.pagespeed.ic.ITdXM3Eeb9.jpg

Msanii wa muziki kutoka TMK Wanaume Family, Chege amefafanua kuwa sababu inayowafanya wasanii washindwe kuwatumia warembo wa video za muziki wa ndani kwenye video wanazoenda kushoot nje, ni kutokana na kutokuwa serious.
Chege ambaye wimbo wake ‘Waache Waoane’ akiwa na Diamond unafanya vizuri kwenye TV na redio, ameiambia East Africa TV, kupitia kipindi cha Planet Bongo cha wiki iliyopita kuwa alitaka kuwachukuwa warembo watano wa hapa Bongo kwenda Afrika Kusini kushoot nao video yake hiyo mpya.

“Nilitaka kuondoka na models watano, lakini kati ya hao mmoja tu ndiye alikuwa na passport na hawa wengine hawakuwa nazo. Sidhani kama kweli walikuwa hawana lakini ni kama walikuwa wanazingua,” amesema Chege.

Msanii huyo ameongeza kuwa warembo wa nje hawasumbui kwakuwa hata ukiwataka 15 ukipiga simu baada ya muda unatumiwa picha za warembo 50 uchague unaowataka kuwatumia kwenye video yako.
 
Kwani Kitabu Tanzania hii limekua swala la kila mtu ? Bado si ni jambo la kama anasa hivi kumiliki Kitabu ,hivyo siwezi shangaa hao wadada wasiokua na Passports ,
 
Kwa kweli ona wivu tu,maana umekosa offer yangu ya kukupeleka Shopping Dubai.
yethuuuuuu...
japo sijui hata milango ya airport inafananaje
ila ntaenda[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
sijakanyaga huko nna miaka kama kumi.
japo niko dar ila airport kumekua kama area51[emoji23]
 
yethuuuuuu...
japo sijui hata milango ya airport inafananaje
ila ntaenda[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
sijakanyaga huko nna miaka kama kumi.
japo niko dar ila airport kumekua kama area51[emoji23]
Usiogope, mimi nipo tu we tafuta hiko kitabu mengine niachie mimi.
 
Tanzania hakuna warembo.....warembo gani hawajielewi , wana fake life wanaogopa kwenda kuumbuka ughaibuni hawajui hata kusema 'JAMII FORUM THE HOME OF GREAT THINKERS'.....kama mtu anabisha basi mtu mmoja amwambie Gigy money aseme kama hajaambulia kupewa mipasho,.
 
Back
Top Bottom