nkuwi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 4,806
- 5,347
aaaaaaaahaaa ana undugu na dr vitumbua???Mkuu was wilaya ya nzega
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aaaaaaaahaaa ana undugu na dr vitumbua???Mkuu was wilaya ya nzega
kwani wewe umesomea wapi?huyo IT kasoma shule ya wapi,anaandika kiswahili kibovu na kingereza kimeoza hivyo!eti be a mother faking good boy
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watu buanaNikaja speed nikidhani ni Chenge mzee wa Escro kuwamlamba hela zote kumbe holaa!
oteakwani wewe umesomea wapi?
sijasoma IT ila niko familiar na neno "hack"Wanajamvi nimeshangaa kuona account ya chegge ya Instagram wamei Huck ,,,, iv inawezekana mtu akakamatwa alie fanya ivo au vp wakuu.
Mkigoma mmoja hivi,alikutana na Juma nature akambeba beba now nae anapigapiga kelel mjini hapa anapata hela ya scrubchege ndio nani??
hii ni sawa na mwizi kaingia nyumbani kwako kaiba hela zako halafu akala ugali wote akaoga kabisa akapumzika huku akicheki tv halafu baada ya muda anaondoka zake...!!
Kwani ni wewe? Huoni uozo huo?kwani wewe umesomea wapi?