Chegge adukuliwa akaunti yake ya Instagram

Chege kashafulia anatafuta kick wamechezea bahati na kundi lao wanaume majuto ni mjukuu
 
Hii chege kapata kiki si haba,maana siku hizi muziki ni zaidi ya kipaji,sauti nzuri na kujituma.
 
Wala haihitaji kuwa IT kuweza kuhack account za insta, mtu wako wa karibu tu akiweza kukaa na simu yako kwa dkk 5 tu anahack account, unakuta chege mwenyewe hiyo account kafunguliwa na jamaa, sasa hapo kuna siri gani tena?
 
huyo IT kasoma shule ya wapi,anaandika kiswahili kibovu na kingereza kimeoza hivyo!eti be a mother faking good boy
 
Hiyo jamaa kanichekesha sana kwakweli.
Kuiba anaiba yeye na bado povu linamtoka mwenyewe.
Serikali itoe tu hizo ajira mana kuna watu washaanza kuchizika
 
Chenge na Account unatukumbusha ESCROW......Jamaaa kauza instagram page yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…