Cheik Tiote afariki Dunia akiwa mazoezini

Allah amsamehe mapungufu yake

Mapungufu hnaombewa na kusamehewa ukiwa duniani,Ukishakufa ukurasa wako unafungwa!

Angalia wabunge na serikali inavyofanya wanajua wakifa wataombewa waione Mbingu,ha ha ha labda mbingu yao walipoficha hela za dhulma
 
wengi hawajuagi hilo.ukishakufa habari imeisha.ndo maan tunaambiwa tutubuni kabka ya muda
 
Mapungufu hnaombewa na kusamehewa ukiwa duniani,Ukishakufa ukurasa wako unafungwa!

Angalia wabunge na serikali inavyofanya wanajua wakifa wataombewa waione Mbingu,ha ha ha labda mbingu yao walipoficha hela za dhulma
....lione hili fala!
...bichwa linawaza siasa tu muda wote!
.utakufa lofa bwege wewe!
 
Back
Top Bottom