Cheka kidogo upunguze stress

Cheka kidogo upunguze stress

King Jody

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2022
Posts
1,834
Reaction score
3,456
Kuna jamaa alikuwa kila akienda msalani na kopo lake la maji akimaliza kujisaidia kucheki kopo lake maji hakuna,
Kesho yake alipoenda msalani akaona isiwe tabu akajisafisha kwanza kabla ya kujisaidia ili kuwahi maji yasiishe,
Kumbe kopo lilikuwa limetoboka, yeye hakutaka kujua hilo 😀 😀 😀

Nb. kila mtu ana njia yake ya kutatua matatizo yanayomkabili 😀😀😀😀😀

Kama una kichekesho lete watu wapunguze stress za maisha.
 
Hiki kichekesho ndio sababu kuu ya adui umaskini😁
 
Back
Top Bottom