๐ ๐ ๐ ๐ ๐
Hiki kichekesho ndio sababu kuu ya adui umaskini๐Kuna jamaa alikuwa kila akienda msalani na kopo lake la maji akimaliza kujisaidia kucheki kopo lake maji hakuna,
Kesho yake alipoenda msalani akaona isiwe tabu akajisafisha kwanza kabla ya kujisaidia ili kuwahi maji yasiishe,
Kumbe kopo lilikuwa limetoboka, yeye hakutaka kujua hilo ๐ ๐ ๐
Nb. kila mtu ana njia yake ya kutatua matatizo yanayomkabili ๐๐๐๐๐
Kama una kichekesho lete watu wapunguze stress za maisha.
๐๐๐๐Dah aisee nimecheka sana mpaka machozi ๐ญ
Bandama langu halitumiki Kwa mambo ya kitotoKuchekesha watu wasio na bandama kama wewe kazi sana