Cheka kidogo

Idd Omary

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
250
Reaction score
37
Mwalimu mmoja wa shule ya sekondary Kiraracha mkoani kilimanjaro afumaniwa akiwa akiwa na mke wa headmaster huku headmaster akijua huyu ni mwalimu wake wa pekee ktk hesabu shuleni hapo. Aliamua kumsamehe tuu ili iwe siri aendelee kufundisha!!! Shule yenyewe ya serikali alafu inawaonea huruma wanafunzi wengine hata wasio na nidham na vilaza kuwatolea mkeo kafara ili tuu wasome. Aaa hapana sitakubali acha wafeli wote mwalimu hana kazi tena namtupa jela miaka3!!!
 
dah hiyo kali xana yani jamaa hana mapenzi ya dhati kwa mkeo !!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…