Cheka kiduuchu, ili utoe uchovu

Cheka kiduuchu, ili utoe uchovu

TANZANNIA

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2015
Posts
1,047
Reaction score
385
babu kaibiwa nauli kwenye basi,akanza kutangaza 'jamani aliyeiba nauli yangu arudishe sasa hivi kabla sijachukua uamuzi kama wa mwaka juzi'mwizi akaogopa na akarudisha ile nauli.

baada ya hali kuwa shwari abiria wenzake wakamuliza babu kwani mwaka juzi ulifanyaje?akajibu'nilitembea kwa miguu tokasongea hadi makambako baada ya kukosa nauli'
 
Hii stori Imerudiwa, ila imebadilishwa kidoogo. Jiepushe kunakili kazi za watu bila idhini yao (Plagiarism).
 
1917084_1696860077237121_7992766724341133731_n.jpg
 
Hii stori Imerudiwa, ila imebadilishwa kidoogo. Jiepushe kunakili kazi za watu bila idhini yao (Plagiarism).
hamna kitu kipya chini ya jua mkuu,vyote vilishakuwepo.
 
aha ha ha ha! ama kweli simu zimetuongezea umri!!
 
Back
Top Bottom