issac77
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,128
- 7,899
Jamaa analala yeye na mke wake na watoto
wote chumba kimoja. Akamwambia mke
wake wacha tujinyooshe wakishalala
watoto, ukiona nawasha kibiriti nazima ujue
nakuita njoo kwangu..
Mke Akakubali sawa mume wangu, mke
ukamchukua usingizi akalala.
Mume akaanza kuwasha na kuzima.
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
bado mke kalala..
Mmoja kati ya watoto akamwambia ndugu
yake..
"Dogo mwamshe mama yako asije
akatuunguza kwa moto huyu bwege...".
wote chumba kimoja. Akamwambia mke
wake wacha tujinyooshe wakishalala
watoto, ukiona nawasha kibiriti nazima ujue
nakuita njoo kwangu..
Mke Akakubali sawa mume wangu, mke
ukamchukua usingizi akalala.
Mume akaanza kuwasha na kuzima.
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
bado mke kalala..
Mmoja kati ya watoto akamwambia ndugu
yake..
"Dogo mwamshe mama yako asije
akatuunguza kwa moto huyu bwege...".