Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,255 Jun 7, 2018 #1 Jamaa analala yeye, mke wake na watoto wote chumba kimoja. Akamwambia mke wake *Acha tujinyooshe wakishalala watoto, ukiona nawasha kibiriti nazima ujue nakuita njoo kwangu.* Mke Akakubali *Sawa mume wangu.* mke ukamchukua usingizi akalala. Baada ya mda flani mume akaanza kuwasha na kuzima. Washa kuzima.. Washa kuzima.. Washa kuzima.. Washa kuzima.. Washa kuzima.. Washa kuzima.. Washa kuzima.. Washa kuzima.. Washa kuzima.. Washa kuzima.. Washa kuzima.. Washa kuzima.. Washa kuzima.. Washa kuzima.. Washa kuzima.. Washa kuzima.. Washa kuzima.. Washa kuzima.. bado mke kalala tu.. Mmoja kati ya watoto akamwambia ndugu yake *Dogo hebu mwamshe maza huyu mzee asije akatuunguza bure* [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jamaa analala yeye, mke wake na watoto wote chumba kimoja. Akamwambia mke wake *Acha tujinyooshe wakishalala watoto, ukiona nawasha kibiriti nazima ujue nakuita njoo kwangu.* Mke Akakubali *Sawa mume wangu.* mke ukamchukua usingizi akalala. Baada ya mda flani mume akaanza kuwasha na kuzima. Washa kuzima.. Washa kuzima.. Washa kuzima.. Washa kuzima.. Washa kuzima.. Washa kuzima.. Washa kuzima.. Washa kuzima.. Washa kuzima.. Washa kuzima.. Washa kuzima.. Washa kuzima.. Washa kuzima.. Washa kuzima.. Washa kuzima.. Washa kuzima.. Washa kuzima.. Washa kuzima.. bado mke kalala tu.. Mmoja kati ya watoto akamwambia ndugu yake *Dogo hebu mwamshe maza huyu mzee asije akatuunguza bure* [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 26,597 Reaction score 29,527 Jun 7, 2018 #2 Una undugu na member mwingine humu anaitwa kioo? Sory lakini kwa kutoka nje ya mada
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,776 Reaction score 126,721 Jun 7, 2018 #3 [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kirikou Wa Kwanza JF-Expert Member Joined May 24, 2013 Posts 3,557 Reaction score 1,992 Jul 12, 2018 #4 Tehe Tehe!
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,403 Reaction score 465,266 Jul 12, 2018 #5 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka mpaka tumbo linauma
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,776 Reaction score 126,721 Jul 12, 2018 #6 Shunie said: [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka mpaka tumbo linauma Click to expand... Poyeeee
Shunie said: [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka mpaka tumbo linauma Click to expand... Poyeeee
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,403 Reaction score 465,266 Jul 12, 2018 #7 Tantee Mwifwa said: Poyeeee Click to expand...
adden JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 7,032 Reaction score 15,721 Jul 12, 2018 #8 Vifaranga vya kuku walimuuliza mamayao.. Mbona tukizaliwa hatupewi majina kama mwanadamu.. Mamayao akamjibu.. Watoto wangu sisi twapeana jina saa zile tumekufa.. Chicken tikka, chicken Fri, chicken biriani, chicken karai, chicken curry, chicken burger etc etc... [emoji23][emoji23]
Vifaranga vya kuku walimuuliza mamayao.. Mbona tukizaliwa hatupewi majina kama mwanadamu.. Mamayao akamjibu.. Watoto wangu sisi twapeana jina saa zile tumekufa.. Chicken tikka, chicken Fri, chicken biriani, chicken karai, chicken curry, chicken burger etc etc... [emoji23][emoji23]
Official Tz App Member Joined Jul 4, 2018 Posts 20 Reaction score 10 Jul 12, 2018 #10 Hahahahahahahahaha
kinywanyuku JF-Expert Member Joined Jul 13, 2015 Posts 3,862 Reaction score 3,098 Jul 14, 2018 #11 [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]