Cheka na wewe

Cheka na wewe

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
Jamaa analala yeye, mke wake na watoto wote chumba kimoja. Akamwambia mke wake *Acha tujinyooshe wakishalala watoto, ukiona nawasha kibiriti nazima ujue nakuita njoo kwangu.* Mke Akakubali *Sawa mume wangu.* mke ukamchukua usingizi akalala.
Baada ya mda flani mume akaanza kuwasha na kuzima.
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
bado mke kalala tu..
Mmoja kati ya watoto akamwambia ndugu yake *Dogo hebu mwamshe maza huyu mzee asije akatuunguza bure*
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Una undugu na member mwingine humu anaitwa kioo?
Sory lakini kwa kutoka nje ya mada
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Vifaranga vya kuku walimuuliza mamayao.. Mbona tukizaliwa hatupewi majina kama mwanadamu.. Mamayao akamjibu.. Watoto wangu sisi twapeana jina saa zile tumekufa.. Chicken tikka, chicken Fri, chicken biriani, chicken karai, chicken curry, chicken burger etc etc... [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom