Program Manager
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 2,763
- 3,955
Wakuu,
Kama title inavyotamba, basi. Kwa wale tunaofuatilia hiki kipindi kinachotafuta vijana wenye vipaji vya kuchekesha kwenye stand up comedy (CHEKA TU COMEDY SEARCH) cha wasafi tv tujuzane ni washiriki gani ambao unavutiwa nao na ambao huvutiwi nao katika uchekeshaji wao.
Mimi naanza na
1. Leonardo: Kijana mdogo, msomi, anachekesha kisomi zaidi, hatumii nguvu nyingi bali akili. Nampa nafasi ya kufika mbali kwenye haya mashindano na kuwa mshindi namba 1
2. Ndaro: Huyu jamaa kutoka mwanza ana kipaji kikubwa sana cha kuchekesha, ana uwezo wa kukuchekesha mara nyingi awezavyo ndani ya dakika 5 bila kukubugudhi.
3. Asma: Ni mtoto wa kike pekee ambaye namuona mbali sana kwenye hii tasnia, anachekesha kipekee na ana confidence ya hali ya juu sana
4. Nox M: Mshiriki kutoka mbeya mwenye nia ya kutwaa ubingwa mwisho wa siku, anajua kuvaa uhusika wa kile anachokuja kupresent na mi mic controller mzuri sana.
Ni wengi kati yao wana vipaji vikubwa sana mimi nimevutiwa na hawa kwa leo na mwisho wa mashindano natumaini atazaliwa mchekeshaji mkubwa sana kupitia haya mashindano.
CHEKA TU... Mpunga, kiwanja na ajira (kwa sauti ya babalevo)