Darucha
Senior Member
- Dec 28, 2020
- 111
- 211
Wengi mnasema Leonardo ataondoka na pesa hizo yote ni kwa sababu jamaa hajawahi kupondwa hata kidogo maana tangia Cheka tu ianze jamaa amekuwa akishangiliwa kila wakati ni kweli mshikaji Yuko vizuri hata asiposhinda akiamua awe stand up comedian atafika mbali pia lakini kuna mashkaji hawazungumzwi Sana lakini naona kuna mshindi Kati Yao
1-saidi saidi
2-mc eliud
3-headmaster
Na kuna wengine wamekuwa wakipondwa na kuingia kwenye danger zone lakini fainali nawaona wanaenda kuvunja watu mbavu
1-saidi saidi
2-mc eliud
3-headmaster
Na kuna wengine wamekuwa wakipondwa na kuingia kwenye danger zone lakini fainali nawaona wanaenda kuvunja watu mbavu