Yule jamaa ๐ฅDecomic
Madevu
MostlyBinafsi nishawacheki wawili Deogratius na Mc Mandevu wako vizuri sana.
Hakika jamaa anajua anachokifanyaLeonald
Ataondoka na 10M na kiwanja.
Kati ya mc eliud na Leonard yupi Bora kwako?Hakika jamaa anajua anachokifanya
Hahaha jamaa anatisha sana, angalia hiyo video nayo YouTube Leonardo anajifanya mwizi๐น๐น, Cheka TU sahv imepata vijana wa hovyo sanaAnanifurahishaga eliud na story za Mama ake
Even meAnanifurahishaga eliud na story za Mama ake
Leonardo ni bora mara 3 ya mc eliudKati ya mc eliud na Leonard yupi Bora kwako?
Shukrani
Link hiyo kazi za Leonardo mshindi wa Cheka tu, subscribe YouTube
Na rafiki ake Alex cado ๐๐Ananifurahishaga eliud na story za Mama ake
Daah siyo poa jamaa ๐๐
Link hiyo kazi za Leonardo mshindi wa Cheka tu, subscribe YouTube