Cheki dictionary ya mapenzi hiyo!!

Cheki dictionary ya mapenzi hiyo!!

Honey-kimeo
dear-wa kuzugia
sweet-mshamba
my love-zezeta
baby-mjinga
endless-malaya
darling-*****
husband-buzi.
Jicheki uko upande gani hapo!

haaaaahhhh mm sina neno sababu mhhhhh najua mwenyewe ila hiyo kamusi balaza la kiswahili wameipitisha
 
Mbona hapo kwenye darling pana nyota nyota, tafsiri yake ni nini?
 
Back
Top Bottom