Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Safi sana na mara nyingi hizo game ni raha to the maximum unaipata pepo mubashara kabisaComments zako zinanikumbusha mnyarwanda mmoja nilikutana nae hamugembe Bukoba ,ilikuwa akitaka ile mitanange ya shoo za kibabe lazima anikorofishe kwanza tuzozane weeee kwa siku kadhaa kabla hajaja na suluhisho ,bas hapo mtanange wake sio wakitoto na kutukana juu