Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,824
- Thread starter
-
- #21
Mdg kama piritonHapo lazima uwe mdogo
Nalo nenokuki kwa guruwe! Kwa binadamu ni chungu. πππ
Na yy akufanye nnAiss naua mtu
Na ww je[emoji38]Hicho kibao atakula hatokisahau
Yeye anisamehe na asiulize ulizeNa yy akufanye nn
Lkn mm naona bora hapo iwe wote haki sawaYeye anisamehe na asiulize ulize
Kumbuka mimi ni muislam....sunaLkn mm naona bora hapo iwe wote haki sawa
Hhmmm,hata mm mbn muislamu..kwaio ukifanya kosa,usiambiwe kitu eeeKumbuka mimi ni muislam....suna
Siyo kosa nakua najiandaa kuongeza mke [emoji12]Hhmmm,hata mm mbn muislamu..kwaio ukifanya kosa,usiambiwe kitu eee
[emoji23] we kweli umeamua haaaa,..sasa si unataka uanzishe mtafaruku ndani ya nyumba mara mbili yakeSiyo kosa nakua najiandaa kuongeza mke [emoji12]