CHEKI: Kwa hakika Magaidi ya Hezbollah yalijiandaa

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
3,799
Reaction score
10,196

(Hii ni kambi Moja tu)
(Na mlengwa alikuwa Israel)
( Iran na Hawa jamaa walikuwa na agenda ya kuiangamizi na kuifuta Israel)

Israel ashukuru sana Mungu aliyempa akili za ziada na akaendelea kusimama naye.

Hiyo mitambo imeshateketezwa sehemu kubwa sana kwa uwezo wa Israel.
 
Lets say ulichoandika ni kweli

Anti-Aircraft missile ina maana inatungua threat za kwenye Anga, mtambo ambao unatungua threat za Anga ni kwa ajili ya kujilinda na Israel ama kuangamiza?

Munajaribu sana kuwasafisha hao wa Israel ila hawasafishiki.
 
Wa Wakiristo wa jf kila muislam kwao gaidi
 
Hayo ni manati tu kwa Israel, hadi viongozi waandamizi wa kikundi cha kigaidi cha Hezbollah wanauawa kirahisi vile hayo manati yanafanya kazi gani na waga yako wapi.
 
Devil fingers
 
Kwahiyo wewe ulitaka Hizbollah watumie mawe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…