CHEKI: Kwa hakika Magaidi ya Hezbollah yalijiandaa

Ukisoma hizi comment utagundua kuna kundi fulani hamnazo kabisa yaani empty set
 
View attachment 3115981
(Hii ni kambi Moja tu)
(Na mlengwa alikuwa Israel)
( Iran na Hawa jamaa walikuwa na agenda ya kuiangamizi na kuifuta Israel)

Israel ashukuru sana Mungu aliyempa akili za ziada na akaendelea kusimama naye.

Hiyo mitambo imeshateketezwa sehemu kubwa sana kwa uwezo wa Israel.
Source: Trust me bro
 
je umeyaona ya Israel piah,Ndio mana vita haishi maana Israel na yeye Yuko vizuri
 
Ayatollah today was to dine in hell.

Amshukuru sana Mrusi amekisanua.
myahudi nae amshukuru USA na NATO coz ingekuwa tayari ishafutika kabisa duniani saa hizi watu tungekuwa tunafanya mambo mengine
 
(Hii ni kambi Moja tu)
(Na mlengwa alikuwa Israel)
( Iran na Hawa jamaa walikuwa na agenda ya kuiangamizi na kuifuta Israel)

Israel ashukuru sana Mungu aliyempa akili za ziada na akaendelea kusimama naye.

Hiyo mitambo imeshateketezwa sehemu kubwa sana kwa uwezo wa Israel.
Kondoo mmejazwa ujinhga sana. Hakuna akili ya ziada wala nini.

Hao washukuru Mungu, walipouliwa na wakristo wa Ulayta Waislam wakawapokea.

Umesahau, au ndiyo ukondoo?
 
myahudi nae amshukuru USA na NATO coz ingekuwa tayari ishafutika kabisa duniani saa hizi watu tungekuwa tunafanya mambo mengine
Nani wa kuifuta sasa Iran au?

Kwa hiyo anavyowapoteza hamas na hizibolaa anasaidiwa na USA na NATO?
 
View attachment 3115981
(Hii ni kambi Moja tu)
(Na mlengwa alikuwa Israel)
( Iran na Hawa jamaa walikuwa na agenda ya kuiangamizi na kuifuta Israel)

Israel ashukuru sana Mungu aliyempa akili za ziada na akaendelea kusimama naye.

Hiyo mitambo imeshateketezwa sehemu kubwa sana kwa uwezo wa Israel.
Usiseme uwezo wa Israel sema kwa uwezo wa USA. Israel bila misaada kutoka West is a dead state
 
Back
Top Bottom