Cheki majina ya ajabu-ajabu kwenye phonebook

Basi tuu majina, wengine una wa save ..Kituko,Hatuongozani,Mjaluo,mwarabu mchafu,vidole man,dakika2,maliza niondoke,bunduki tupu,wakujipenda,maneno mengi,muosha vyombo,mchinja paka,nyoko aso sumu,mchimba mgodi..lol
Niliwahi kukuta nimeseviwa mchimba mgodi kwa ex wangu,,,nilichukia na nikampiga chini,,,kumbe mid ndo nilikuwa on top wa wote kwake,,,Aliumia sana mpaka kesho anasema ANANIMISS NA HANA SAMPULI YANGU KWENYE LISTI YAKE,,AISEEE NYIE NI SHIDAAAHHHH
 
LOL Sasa huoni jina zuri hilo Mchimba mgodi? ungeitwa Mpingo? au kifyagio? ungepigana lol..
 
Mkuu huyo mtu nilimchana mashairi siku moja na akakubali ndo maana ya BONZOLA yaani lainilaini tu.
Hahaha lakini sisi wanaume hatuna jema!
Hapo amekubali mapema Ishu,
akituzungusha pia ni ishu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…