Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weee ukikutana nayo jiandae na mikosi DAILESasa si naskia skuizi mnazimikia mikono ya sweta?
Mkuu huyo mtu nilimchana mashairi siku moja na akakubali ndo maana ya BONZOLA yaani lainilaini tu.Huyo bonzola ilikuaje ukamsave ivyo mkuu?
Niliwahi kukuta nimeseviwa mchimba mgodi kwa ex wangu,,,nilichukia na nikampiga chini,,,kumbe mid ndo nilikuwa on top wa wote kwake,,,Aliumia sana mpaka kesho anasema ANANIMISS NA HANA SAMPULI YANGU KWENYE LISTI YAKE,,AISEEE NYIE NI SHIDAAAHHHHBasi tuu majina, wengine una wa save ..Kituko,Hatuongozani,Mjaluo,mwarabu mchafu,vidole man,dakika2,maliza niondoke,bunduki tupu,wakujipenda,maneno mengi,muosha vyombo,mchinja paka,nyoko aso sumu,mchimba mgodi..lol
LOL Sasa huoni jina zuri hilo Mchimba mgodi? ungeitwa Mpingo? au kifyagio? ungepigana lol..Niliwahi kukuta nimeseviwa mchimba mgodi kwa ex wangu,,,nilichukia na nikampiga chini,,,kumbe mid ndo nilikuwa on top wa wote kwake,,,Aliumia sana mpaka kesho anasema ANANIMISS NA HANA SAMPULI YANGU KWENYE LISTI YAKE,,AISEEE NYIE NI SHIDAAAHHHH
Sisi ambao hatuna tucoment ni mkuu!![emoji134] [emoji134]NUNG'AYEMBE
[emoji23] [emoji23] [emoji23]hahaaa umeua bendi[emoji1] [emoji1] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Haahahhahaha Jamaa wewe ni Konyo, hahhaa