irk
JF-Expert Member
- Jun 5, 2016
- 486
- 388
[emoji38][emoji38][emoji48]Duu mkuu macho yako yana X-Ray au ? Mtu unakutana nae njiani au popote ghafla unajuaje hajakatwa ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38][emoji38][emoji48]Duu mkuu macho yako yana X-Ray au ? Mtu unakutana nae njiani au popote ghafla unajuaje hajakatwa ?
Nilimfunua mkuuDuu mkuu macho yako yana X-Ray au ? Mtu unakutana nae njiani au popote ghafla unajuaje hajakatwa ?
Basi wewe ni kibokoNilimfunua mkuu
Kwan si ana iba tuuu?Hiyo hela ya kuendea guest si bora anunue hiyo perfume?
Alikuwa asomeki..Na huyo nae ilikuaje akaseviwa ivyo mkuu?
Hahah Mzee inaonekana kwa kukopa upo vizuri
Naomba ni PM namba zake plzzView attachment 400402 kuna moja imeseviwa hivyo
Ha ha STUNTER bhanakuna majina huwa tunayasevu kwenye matukio ya
ghafla ili iwe lahisi kumkumbuka mtu huyo kesho
yake... Kuna baadhi ya watu huwa tunakutana nao
kwenye Situations za GHAFLA,Umelewa somewhere
jamaa kakuzimikia anakupa namba ya Simu, kwenye
Bata mjini,au kwenye Basi mnapeana namba za simu kwenye mazingira ya ghafla ambayo si rahisi
kumkumbuka hata akikukumbusha kesho yake
unabakia unajiuliza WHO IS THIS PERSON??
Sasa katika
kuepuka kusahau Yupi ni nani huwa kuna Style za
Kusevu jina kwenye Fonibuku hata akikupigia
unarecall fasta...Hii imefanya Phonebook zetu kuwa na majina ya ajabu ajabu tu...Mara ONE NIGHT STAND
ARUSHA...ALIYENISHIKA TAKO...HAJUI KUCHEZA...MATAKO LAINI.. MAZIWA
YAMELALA...MSUMBUFU...SIMTAKI HAELEWI....BODA BODA HANDSOME...MREFU HANA HELA.. BAHILI...ANA
HELA ILA MFUPI...ANANUKA KIKWAPA..ASHA MAZIWA MAKUBWA.. JOHN ALIYENIPA OFA....FATM
MKOROGO.....PEDESHE MFUPI KANIPA BIA
MBILI..ANATAKO REFU ASHA....KANIRUDISHA
HOME...KAKOJOA DAKIKA5...
Ongezea ya kwako kama unayo.Cheki Phonebook
halafu TUPIA TUONE
Ha ha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]MIUNO FENI