ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Unajua watu ukiwaambia jinsi ulivyo na akili wanakudharau rafiki sasa sikia hii mimi ipo siku naanza biashara ya pombe na mpango wangu ukija unanunua pombe me offer yangu ni sigara moja si najua pombe ina faida ya Tsh. 300 so nakupa sigara moja ya 100 mimi potelea mbali acha nipate 200 halafu sasa pale counter naweka kitabu cha kusaini ukija unasaini halafu sasa naweka na thermos yaani bia yako unaiweka ndani ya Chupa ya chai halafu situmii glass natumia vikombe vya chai. Mambo fulani tu ya uchizi uchizi ila lengo linakuwa ni kuji brand kujitofautisha na kuvutia wateja. Watakuja watu kusema nishakunywa bia asubuhi.