safi sana shilole, kingereza si lazima uende shule ni lugha kama lugha zingine unajifunza kwa kuzungumza ukikosea lakini siku hadi siku una improve.
Tatizo watu ukiongea broken wanacheka wakati mchina au mbrazil akiongea broken kama kocha maximo wanaona kawaida.