Cheki shilole anavyobonga NGELI

Cheki shilole anavyobonga NGELI

nyinyi vijana mmejaaliwa kupita English medium mnaona rahisi tuu! kingereza kigumu jamani! hudhuria interview kwanza kungfuu nyingi! pili sentensi mbili the zipo kama kumi hivi! mtu akitoka hapo jasho linamtoka kama alikuwa kabeba lumbesa! acheni kabisa!
 
Hongera sana bidada kwa kutoogopa maelfu ya watu. Fanya kwa mazoea na bila woga wanaokupenda watakurekebisha na ndio kujifunza.
 
Mda mwingine ni bora kutumia kiswahili
 

Attachments

  • 1418189685740.jpg
    1418189685740.jpg
    60 KB · Views: 244
Hizi lugha za majahazi hahaha..........?
 
Huyu aliwahi kuahidi atafanya nyimbo na J. LOPEZ, vp kashamaliza ama?
 
Hahahaa uwiiii ivi tarehe 18 December imefika au anatafuta zawadi??
 
Tunamcheka shilole lakini kiukweli wabongo wengi tunaongea kingereza cha kuelewana wenyewe na tuna relax sana tukiwa wenyewe tabu aje mwenye lugha yake! jasho mtu anakunja uso mara anakuwa kwaya master.
 
Wadau tusimkatishe tamaa,, sema tu alitoroka english course.
 
Tunamcheka shilole lakini kiukweli wabongo wengi tunaongea kingereza cha kuelewana wenyewe na tuna relax sana tukiwa wenyewe tabu aje mwenye lugha yake! jasho mtu anakunja uso mara anakuwa kwaya master.

eti mara anageuka kua kwaya master duhu nimecheka apa mpaka basi kama na muona vile apo mdomo na mikono vinakua pamoja kuongea tena uwapate wamesimama ahaa.
 
Back
Top Bottom