MstahikiMeya
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 1,633
- 560
Ngeli ya Genge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakushaur piga za tbl za mtaani utaelewa kilugha tu
Anyway sio lugha yetu tusimzodoe
Kama c lugha yetu siangeacha tu au akatumia lugha yetu....huku ni kuchafua lugha za wenzetu
Mwanzo mguuu...
Eeeh Senkyuu vere much Da Shilole......Wanaija wajipangeeee tumekuja kuwaaashikaaaaaa.....
Hii kitu ilishaletwa humu na kuna uzi upo!
Tunamcheka shilole lakini kiukweli wabongo wengi tunaongea kingereza cha kuelewana wenyewe na tuna relax sana tukiwa wenyewe tabu aje mwenye lugha yake! jasho mtu anakunja uso mara anakuwa kwaya master.
Baada ya kuona hio post yake wacha niende kwa rasi simba naona hali tete