Cheki walokole walichofanya hapa

Cheki walokole walichofanya hapa

Tatizo ni kuwa wengi wenu hili neno mnapenda kulitumia kama vulgar au slang pekee. Na mimi naamini hapo ulimpa maana iliyojikita katika mitazamo hiyo.

Lakini ukijaribu kuliweka kama figurative, halina shida yoyote. Na hata maandishi ya hiyo Tshirt yalilenga figurative.
Mfano, as a figurative, ass inamaanisha body. Je, kuna shida mtu akiva t-shirt imeandikwa kuwa; "My body is bigger than yours"?
Kiukweli haina shida, niliona tu akifika kwa watu wengine anaweza kuchekwa ajisikie vibaya. 😅
 
MATHAYO 11:28.

Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.


Come unto me, all ye that labour and are heavy laden, and I will give you rest.
 
Naona wanaanza kutekeleza maagizo ya Papa Fransis ya mapenzi ya jinsia moja
Ila wamekosea kuanza na Mungu wao
 
Nadhani wamefupisha TU Kwa sababu ya nafasi. Walimaanisha, "Assemblies"!
 
Naona wanaanza kutekeleza maagizo ya Papa Fransis ya mapenzi ya jinsia moja
Ila wamekosea kuanza na Mungu wao
Acha kumfikiria Mungu kwa upumbavu
Kwa maandishi yako umelaaniwa laana mbaya kuliko zote.
Ukoo wako mzima Mungu ameulaani.
 
Back
Top Bottom