Cheking in progress

MAULA

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
1,056
Reaction score
170
nimekua nikishinda kwa mtandao
kuchek selection katka vyuo mbali mbali mpaka na macho yanauma sasaa.....
ila....nimekutana na selected applicant 1st batch maana sijaelewa nifahamishe plz........kuna 2nd batch
.......equivalent kuwa selected wachache pia jaman ningependa kuja y.........
.......mwisho wa selection in progress ni nn........
.......ukikosa mwaka huuu mwakan vip au ndo urisiti........
.....hemu tujuzane haya na mengine meng jaman kuhusu ambao tayar vyuo vyote vishatoa majina na hatumoo.....
inakuaje au tusubir selection in progress....
 
vyuo vyote ulivyochagua umekosa first round..
na je... ulikuwa na hii status
PROCESSED SUCCESSFULLY.YOU HAVE BEEN SELECTED...

 
vyuo vyote ulivyochagua umekosa first round..
na je... ulikuwa na hii status
PROCESSED SUCCESSFULLY.YOU HAVE BEEN SELECTED...


hiyo sikua nayo na c zan kama watu wa equivalent tulikua nayo
na jee kunasecond round?!"
 
hiyo sikua nayo na c zan kama watu wa equivalent tulikua nayo
na jee kunasecond round?!"

poleni. Ukiangalia majina ya vyuo vingi utaona ni yale ya direct applicants. Vyuo vingi havijatoa majina ya equivalent applicants.
Wenga matumaini kwenye vyuo vingi ambauyo ambavyo bado havitoa majina ya type yako!
 
Mimi ni wa equivalent hadi sasa vyuo vyote nilivyoomba wameshatoa first batch na sipo ila profile yangu hadi sasa inaniambia
"dear .... You advised to be calm while your application is being processed and..."
nishavurugwa mwenzenu.
 
Mimi ni wa equivalent hadi sasa vyuo vyote nilivyoomba wameshatoa first batch na sipo ila profile yangu hadi sasa inaniambia
"dear .... You advised to be calm while your application is being processed and..."
nishavurugwa mwenzenu.

the same to me!,Ni bora waseme kama mtu umekosa ili ujue moja
 
yaaa ndo hvyo daaaaaaa yaaaan
ni tatizo watu wanadai eti j3 wamesema alaf inahtajika uwe na c 3 olevo sasa hizo sio shidaa swala watuwekee status za kueleweka sio on progress
 
yaaa ndo hvyo daaaaaaa yaaaan
ni tatizo watu wanadai eti j3 wamesema alaf inahtajika uwe na c 3 olevo sasa hizo sio shidaa swala watuwekee status za kueleweka sio on progress

Angalia topic yenye hii title "Leo nimepata email kutoka NACTE: Inatafasiri gani kwangu as equivalent applicant?
 
Nami ni equivalent bt sijapata chuo hata kimoja bt my profile inanambia advise to be calm while my application in progress hii inakuaje asee nishachoka kukesha kwenye mtandao
 
Mimi profile yangu iko vilevile (Check in Progress) lakini nimejikuta kwenye orodha ya waliochaguliwa SAUT-BBA, na O-level nina B mbili tu. Jitahidini kupitia orodha zitolewazo na vyuo ulivyoomba kama wametoa tyr
 
tumepitia mpaka list zimetuchoka wengne yaan zingekua za karatas zingefubaa sasa
 
jaman nixaidien mi kwenye profile yangu hanambia "procced successed you have been selected" je humanixha nn kwan gna langu cjaliona
 
Mie nina mawili.
1. Wananibore sana applicant wa diploma wanavyojiita equivalent. Hivi wewe elimu yako ya diploma ni equivalent na nini? Acheni kujizalilisha bwana mwenye form 6 ndio mwenye hamu ya kwenda chuo hata kushinda kwenye mitandao kutwa kucha kwa sababu ndio mara yake ya kwanza wakati wewe tayari umesha kuwepo chuo kwa miaka miwili au pengine mitatu. Diploma hawezi kuwa equivalent na a level. na
2. Kwa taarifa nilizonazo toka NACTE maombi yetu wameyasikia wako kwenye mchakato wa kutuwekea waheshimiwa wa diploma majibu yetu kupitia kwenye profile zetu ili watu wazima tuache kukesha tukisoma list zisizotuhusu kwenye mitandao. Na haitafika j3 tutaona.
asanteni
 

umenea ukwel m2pu kjana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…