Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie nina mawili.
1. Wananibore sana applicant wa diploma wanavyojiita equivalent. Hivi wewe elimu yako ya diploma ni equivalent na nini? Acheni kujizalilisha bwana mwenye form 6 ndio mwenye hamu ya kwenda chuo hata kushinda kwenye mitandao kutwa kucha kwa sababu ndio mara yake ya kwanza wakati wewe tayari umesha kuwepo chuo kwa miaka miwili au pengine mitatu. Diploma hawezi kuwa equivalent na a level. na
2. Kwa taarifa nilizonazo toka NACTE maombi yetu wameyasikia wako kwenye mchakato wa kutuwekea waheshimiwa wa diploma majibu yetu kupitia kwenye profile zetu ili watu wazima tuache kukesha tukisoma list zisizotuhusu kwenye mitandao. Na haitafika j3 tutaona.
asanteni
yaaa ndo hvyo daaaaaaa yaaaan
ni tatizo watu wanadai eti j3 wamesema alaf inahtajika uwe na c 3 olevo sasa hizo sio shidaa swala watuwekee status za kueleweka sio on progress
poleni sana ambao hamjachagiliwa ila jipeni moyo kima uwezekano second na third batch ikaja na mkawepo na huo ni itaratibu wa kawaida. uvumilivu unalipa. pia weka timaini kwa Mungu sio wanadam.
Vipo vyuo vinavyotaka C tatu za Olevo eg Udsm but vipo vinavyotaka 5 Passes yan hata kama una D tano eg udom, Saut,
ruco
..mdogo wangu alikua na D nne na C moja akarisit akakosa, ikabid tumpeleke A levo uganda
..then this time ka aply bt kwa umakin wa kuangalia vyuo vitakavyo m favor
..AMECHAGULIWA SAUT.
...hivyo msijali mtapata..yawezekana mmewekewa nafas ndo mana mmeambiwa please wait
..niko nanyi kwenye maombi.