Cheking in progress

Cheking in progress

Kuna uwezekano wale ambao hawajawa selected saivi wakapata mkopo kweli mda watakao kua selected ?
 
Mie nina mawili.
1. Wananibore sana applicant wa diploma wanavyojiita equivalent. Hivi wewe elimu yako ya diploma ni equivalent na nini? Acheni kujizalilisha bwana mwenye form 6 ndio mwenye hamu ya kwenda chuo hata kushinda kwenye mitandao kutwa kucha kwa sababu ndio mara yake ya kwanza wakati wewe tayari umesha kuwepo chuo kwa miaka miwili au pengine mitatu. Diploma hawezi kuwa equivalent na a level. na
2. Kwa taarifa nilizonazo toka NACTE maombi yetu wameyasikia wako kwenye mchakato wa kutuwekea waheshimiwa wa diploma majibu yetu kupitia kwenye profile zetu ili watu wazima tuache kukesha tukisoma list zisizotuhusu kwenye mitandao. Na haitafika j3 tutaona.
asanteni

hawa fresh ndo wanakuja kutuchanganya kabisaaaaaaa na kutufedheheshaaaaaaa...
kujiita equivalent ni kutokana na cc ktk.aplicaxn zetu tunatumia kitu hicho so pia inatuwia rahc katka kuwasiliana...
nyie under 18 nyie mnamatatizo so mnaona sie 30 and above hatutakiwi kushindwa kwenye mitandao eeeee hii yute kwa sababu ya kiss you na nacte wangeweka profilin walaaa kusingekua na shidaaaaa
 
Mm ndio haifunguki kabisa. Leo siku ya Pili nikitaka kuingia kweny profile yangu, naambiwa connection error
 
jaman nixaidien mi kwenye profile yangu hanambia "procced successed you have been selected" je humanixha nn kwan gna langu cjaliona

umepitia vyuo vyote ulochaguaaaaa kama bado nipe majina yako na vyuo nikuchekie...
 
poleni sana, ila pia kuna jamaa wangu form vi alichagua kozi raundi ya pili sheria chuo cha mihayo(Tabora) lakini kwenye list ya waliochaguliwa hayupo...ndo amekosa au msaada jamani...!!
 
yaaa ndo hvyo daaaaaaa yaaaan
ni tatizo watu wanadai eti j3 wamesema alaf inahtajika uwe na c 3 olevo sasa hizo sio shidaa swala watuwekee status za kueleweka sio on progress

Vipo vyuo vinavyotaka C tatu za Olevo eg Udsm but vipo vinavyotaka 5 Passes yan hata kama una D tano eg udom, Saut,
ruco
..mdogo wangu alikua na D nne na C moja akarisit akakosa, ikabid tumpeleke A levo uganda
..then this time ka aply bt kwa umakin wa kuangalia vyuo vitakavyo m favor

..AMECHAGULIWA SAUT.

...hivyo msijali mtapata..yawezekana mmewekewa nafas ndo mana mmeambiwa please wait
..niko nanyi kwenye maombi.
 
poleni sana ambao hamjachagiliwa ila jipeni moyo kima uwezekano second na third batch ikaja na mkawepo na huo ni itaratibu wa kawaida. uvumilivu unalipa. pia weka timaini kwa Mungu sio wanadam.
 
poleni sana ambao hamjachagiliwa ila jipeni moyo kima uwezekano second na third batch ikaja na mkawepo na huo ni itaratibu wa kawaida. uvumilivu unalipa. pia weka timaini kwa Mungu sio wanadam.

swali jee hiyo 3rd na 2nd batch itakua na special kwa dip tulotumia equivalent coz ndo near 95% hatumo na prof zetu zinasoma chek in progress status we will notefy you stay calm vyuo vng mwisho tar 13 hatujaomba ruhusa kazn, hatujajua malipo yapoje tutayapataJe.....
wataja ua watuuu hawa jamaaaa bora wawe wanasema tuwasubr wao ndo wasemaj wakuu hataa baada ya vyuo.kutoa selection ili tujue
 
Vipo vyuo vinavyotaka C tatu za Olevo eg Udsm but vipo vinavyotaka 5 Passes yan hata kama una D tano eg udom, Saut,
ruco
..mdogo wangu alikua na D nne na C moja akarisit akakosa, ikabid tumpeleke A levo uganda
..then this time ka aply bt kwa umakin wa kuangalia vyuo vitakavyo m favor

..AMECHAGULIWA SAUT.

...hivyo msijali mtapata..yawezekana mmewekewa nafas ndo mana mmeambiwa please wait
..niko nanyi kwenye maombi.

Amen, thenx sana mdau
 
Back
Top Bottom