Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,540
Nyaniiiiiiii,
Nasubiri Kavwasiye yangu nijiburudishe siku ya Bata mzinga.
Sasa hebu angalia huyu mwanadada mrembo, asili yake kwa kina Malikia Nzinga, ukoo unaotokea Bunyoro, Songhai, Mwanamotapa, Bumbuli, Karnem Bornu, Axum na Meroe...
Angalia alivyoumbika na tabasamu mahiri, kweli ni mrembo tosha kuwa Mama wa Taifa!
Sijui yule bibi yako anayefanana na manikini kwenye maduka atamfikiaje mrembo huyu Michelle my Belle kwa uzuri!
Pole kwa kushindwa, hamia Wassila ukajifue na mjingamjinga Paulina!