Mods naomba msameheni mtoa Mada 😂Mm naombea usipigwe ban bali uwekwe kwenye kundi la wenye matatizo ya akili
Mod fanyeni MamboMUUE CHELSEA KWA GOLI 5-0 WEKA LAKI LALA
View attachment 3404040
Apewe haki yake ya kikatibaActive na Cookie hamjawahi kufeli kwenye suala la ban, au ndio huwa mna jifunzia kwangu 😂 🤣.
Evelyn Salt, Smooth Criminal, Marco Seth, Selikavu, dosho12, Edo kissy
TayariMm naombea usipigwe ban bali uwekwe kwenye kundi la wenye matatizo ya akili
Mashabiki maandazi hawa ,unakuta ajawahi angaliaa hata mechi za Chelsea alafu unakuta anasema Chelsea mbovu wanakufa 5 Kwa PSG 😀 😀 😀 😀,Shabiki wa Simba na Yanga anatumia mihemko ile ile ya kwenye mechi zao kutabiri mechi za nje.
Kule unafungwa na yeyote, muda wowote na kipigo cha aina yoyote. Wenzako wanaomba ban ya week we umeomba mwaka, kula chuma.