Chelsea anafungwa, asipofungwa nipigwe ban la mwaka

Shabiki wa Simba na Yanga anatumia mihemko ile ile ya kwenye mechi zao kutabiri mechi za nje.

Kule unafungwa na yeyote, muda wowote na kipigo cha aina yoyote. Wenzako wanaomba ban ya week we umeomba mwaka, kula chuma.
Mashabiki maandazi hawa ,unakuta ajawahi angaliaa hata mechi za Chelsea alafu unakuta anasema Chelsea mbovu wanakufa 5 Kwa PSG πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…