Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa leo mkuu tunashinda,,,kufungwa labda cku nyingine!!Subiri leo
Umekiona kilichompata Liverpool,Monaco,Dortmund,Juventus wiki hii?????kwa leo mkuu tunashinda,,,kufungwa labda cku nyingine!!
sawa lakini,,,,,chelsea under sarriball ni sheedah!Umekiona kilichompata Liverpool,Monaco,Dortmund,Juventus wiki hii?????
hilo gurudumu linaweza kumwangukia Chelsea piaUmekiona kilichompata Liverpool,Monaco,Dortmund,Juventus wiki hii?????
Yaani wiki hii UEFA imebamba kinoma sare na vipigo ndio vimetawalahilo gurudumu linaweza kumwangukia Chelsea pia
Tukutane hapa kesho Ijumaa saa 7 usiku ulete mrejeshosawa lakini,,,,,chelsea under sarriball ni sheedah!
usijali mkuu,,,,Tukutane hapa kesho Ijumaa saa 7 usiku ulete mrejesho
kuna haja gani ya kucheza uefa wakati hata semi final hufiki??Yaani unacheza EUROPA League halafu unajiita Baba lao?!!
habari ndo hiyoTukutane hapa kesho Ijumaa saa 7 usiku ulete mrejesho