Mohammed wa 5
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 1,215
- 3,035
- Thread starter
-
- #21
Blue foreverHuu msimu wetu huu 2023 Chelsea bingwa
Be blessedMungu sio Athumani
Dua la kuku halimpati mwewe
Best of Luck my CFC
Timu yako Ina laanaCheltako bana
Unajua maana ya shabiki mkuu au umeanza kufuatilia mpira ukubwaniWewe chelsea ambaye yuko tz **** mbegete sijui lini mtaacha ujinga huu
Usikae kinyonge uefa tunachukua ChelseaNaisupport Chelsea ila hapa sito neno lolote.
Wakati tunachukua msimu wa 2021 hatukumfunga real Madrid nusu fainal afu city tunachukua ndoo mbele yakeUnaota ndoto za mchana?. Unachotamani unajua kabisa huna uwezo nacho hata nusu. Upitie kwa Real Madrid we kenge?. Umesahau kilichowakuta mwaka jana?. Uliona Madrid ya mwaka jana,wengi walituona dhaifu. Walitupitisha kwa vigogo wote Buyern,Man city,PSG,mkiwemo nyie kenge, Tukalamba kama kumbusu msichana tu. Leo umekuja na ndoto zingine kujifariji,japo unajua safari yako imeishia hapo.
Mbona unaongea kama unarudi Rivas?. Timu ya kichawi kwa nini? Toa ushahidiWakati tunachukua msimu wa 2021 hatukumfunga real Madrid nusu fainal afu city tunachukua ndoo mbele yake
Timu yako Ila laana au shabiki wa Madrid timu ya kichawi