Chelsea bingwa wa klabu bingwa duniani 2022/2023

Chelsea bingwa wa klabu bingwa duniani 2022/2023

Unaota ndoto za mchana?. Unachotamani unajua kabisa huna uwezo nacho hata nusu. Upitie kwa Real Madrid we kenge?. Umesahau kilichowakuta mwaka jana?. Uliona Madrid ya mwaka jana,wengi walituona dhaifu. Walitupitisha kwa vigogo wote Buyern,Man city,PSG,mkiwemo nyie kenge, Tukalamba kama kumbusu msichana tu. Leo umekuja na ndoto zingine kujifariji,japo unajua safari yako imeishia hapo.
Wakati tunachukua msimu wa 2021 hatukumfunga real Madrid nusu fainal afu city tunachukua ndoo mbele yake
Timu yako Ila laana au shabiki wa Madrid timu ya kichawi
 
Wakati tunachukua msimu wa 2021 hatukumfunga real Madrid nusu fainal afu city tunachukua ndoo mbele yake
Timu yako Ila laana au shabiki wa Madrid timu ya kichawi
Mbona unaongea kama unarudi Rivas?. Timu ya kichawi kwa nini? Toa ushahidi
 
Back
Top Bottom