Chelsea fans game ya Madrid darajani Bado ngumu kwetu

Chelsea fans game ya Madrid darajani Bado ngumu kwetu

Darucha

Senior Member
Joined
Dec 28, 2020
Posts
111
Reaction score
211
Bado jamani tusione kama tayari tushaingia fainali kikubwa ni kumuomba mungu pia tuingie fainali ya mashindano haya hii ya kusema Madrid nyumbani hatoki tusijipe asilimia zote kwani lolote linaweza kutokana maana Madrid ni yenye historia kubwa kuliko hata sisi kwenye haya mashindano.

Hii ya kusema Madrid nyumbani hatoki pia tuwe tunajaribu kukumbuka Westbrom katuweka tano palepale petu nasisitiza tusisahau kumwomba mungu atuvushe salama kwenye hii hatua ndo maana Mimi naamin kama imepangwa tutavuka kwenye hii hatua tutavuka tu haijarishi hata kwa goal la mkongo na Kama tumepewa kutokana tutatoka tu hata kwa goal la kujifunga na var ndo maana Kuna mechi huwa tunafungwa mashabiki huwa mnabaki midomo Waz haminini jamani siku ya kufungwa au kushinda ikifika umefika tu haijarishi uko nyumbani au ugenini.
 
Back
Top Bottom