Klabu ya Chelsea ya uingereza imefanikiwa kuibuka na ushidi zidi ya Club ya WBA wa Goli 1 kwa 0, Goli lililofugwa na Mshambuliaji Batshuayi dakika ya 82.
Hivyo sasa Chelsea ndio bigwa wa EPL msimu wa 2016/2017.
Pole sana mkuu , bwawa la maini limejaa utumbo wa kuku kama lile ghara la siraha lililojaa bunduki za mbao ...wooden guns like (zile za wagambo/militia)