Chelsea FC: Mabigwa wapya EPL 2016/2017

Chelsea FC: Mabigwa wapya EPL 2016/2017

Papaa Gx

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2016
Posts
11,097
Reaction score
17,929
Klabu ya Chelsea ya uingereza imefanikiwa kuibuka na ushidi zidi ya Club ya WBA wa Goli 1 kwa 0, Goli lililofugwa na Mshambuliaji Batshuayi dakika ya 82.

Hivyo sasa Chelsea ndio bigwa wa EPL msimu wa 2016/2017.

IMG_6411.JPG


IMG_6412.PNG


IMG_6416.JPG
 
Wazee washika bunduki za ambao (kama zile za wagambo wakati wa mafunzo ya mgambo)
 
Back
Top Bottom