Chelsea FC: Mabigwa wapya EPL 2016/2017

Mmebahatisha tu! mshukuru mungu timu kama man u man city na liva hawakua stable...tuone kama msimu ujao mtachukua!
 
Mmebahatisha tu! mshukuru mungu timu kama man u man city na liva hawakua stable...tuone kama msimu ujao mtachukua!
Ubingwa ni juhudi na mipango mipango na juhudi za Chelsea na wachezaji zimewafikisha hapa [HASHTAG]#champions[/HASHTAG] #the_blues.... [emoji471] [emoji471] [emoji471] [emoji471] [emoji471] [emoji471] [emoji460] kama ni bahati acha hao wengine waendelee kusubiri bahati yao
 
Hongereni kwenu aisee sio sisi Arsenal kila mwaka twaona vikombe kwa wenzetu
 
Mmebahatisha tu! mshukuru mungu timu kama man u man city na liva hawakua stable...tuone kama msimu ujao mtachukua!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] ushabiki wakati mwingine bwana. nawewe bahatisha basi.
 
Wakuu mi Nina wazo.
Tuorganize Siku ya mechi ya mwisho tushangilie kwa pamoja kwa wale walioko dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…