Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Ndio tulichukua, leicester city!msimu uliopita ambao chese hakuwa stable vipi mlichukua ubingwa?
Na mwakani hampo uefa!!Hongereni kwenu aisee sio sisi Arsenal kila mwaka twaona vikombe kwa wenzetu
Mmebahatisha hamna jipya! Ngojeni msimu ujao muone maajabu!Ubingwa ni juhudi na mipango mipango na juhudi za Chelsea na wachezaji zimewafikisha hapa [HASHTAG]#champions[/HASHTAG] #the_blues.... [emoji471] [emoji471] [emoji471] [emoji471] [emoji471] [emoji471] [emoji460] kama ni bahati acha hao wengine waendelee kusubiri bahati yao
Binafsi natamani hata Uropa tusiingie labda yule babu ataondokaNa mwakani hampo uefa!!
Baada ya kubaatisha!keep the blue flag flying high
Aondoke aende wapi wakati timu haina madeni?? Mzee yupo na atakuwepo na uefa hampo!!Binafsi natamani hata Uropa tusiingie labda yule babu ataondoka
Tunamipango mizuri. Chelsea ndo team iliyobeba vikombe vingi tangu 2003 hadi Leo labda unieleweshe vizuri maana ya kubahatishaMmebahatisha hamna jipya! Ngojeni msimu ujao muone maajabu!
Klabu ya Chelsea ya uingereza imefanikiwa kuibuka na ushidi zidi ya Club ya WBA wa Goli 1 kwa 0, Goli lililofugwa na Mshambuliaji Batshuayi dakika ya 82.
Hivyo sasa Chelsea ndio bigwa wa EPL msimu wa 2016/2017.
View attachment 508504
View attachment 508505
View attachment 508506
Hata Arsenal akifanikiwa kuingia big 4 haitawasaidia kwa kuwa Man U watakapochukua kombe la Europa watawapora nafasi hiyo. Arsenal mwaka huu ana wakati mgumu sana.Arsenal big 4
Na nyie mtabahatisha lini?!Baada ya kubaatisha!