Chelsea FC: Mabigwa wapya EPL 2016/2017

Chelsea FC: Mabigwa wapya EPL 2016/2017

Ubingwa ni juhudi na mipango mipango na juhudi za Chelsea na wachezaji zimewafikisha hapa [HASHTAG]#champions[/HASHTAG] #the_blues.... [emoji471] [emoji471] [emoji471] [emoji471] [emoji471] [emoji471] [emoji460] kama ni bahati acha hao wengine waendelee kusubiri bahati yao
Mmebahatisha hamna jipya! Ngojeni msimu ujao muone maajabu!
 
Hongera wape Asernal ila kwa Chelsea hiyo kawaida tu
 
viva the blues,, washika bunduki wana hasira sana
 
Arsenal big 4
Hata Arsenal akifanikiwa kuingia big 4 haitawasaidia kwa kuwa Man U watakapochukua kombe la Europa watawapora nafasi hiyo. Arsenal mwaka huu ana wakati mgumu sana.
 
Pongezi zangu kuu nazitoa kwa Genios of soccer Antonio Conte, kwa kuweza kurudisha form ya Costa, Hazard, Fab, Moses, Alonso na Matic. Kila siku tunasema mpira huu wa kisasa bila benchi bora la ufundi lazima uvune mabua. Wengi walibeza Chelsea kwamba huwezi shinda PL na wachezaji walw wale week in week out, lakini hili limewezekana, ni muda,sasa wa kugeukia FA pia kuhakikishs wachezaji KEY kama Hazard, Willian hawangoki darajani.....Congra the Blues.
 
Back
Top Bottom