UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Acha Uongo hiyo sheria waisha itoa kitambo kile Chelsea alichukua kombe la uefa na kuipokonya everton iliyokuwa nafas ya 4. Kwasasa kama man u atashida uropa zitaenda timu 5. Umeelewa hapo???Hata Arsenal akifanikiwa kuingia big 4 haitawasaidia kwa kuwa Man U watakapochukua kombe la Europa watawapora nafasi hiyo. Arsenal mwaka huu ana wakati mgumu sana.
Hakuna cha bahati wala nini, kitu gani kimewafanya wasiwe stable..?Mmebahatisha tu! mshukuru mungu timu kama man u man city na liva hawakua stable...tuone kama msimu ujao mtachukua!
mkuu bado sijakuelewa unachomaanisha hapa. najua europa zinaendaga timu 2 tu (namba 5 & 6). je hizo timu tano unazosema ni zipi?Acha Uongo hiyo sheria waisha itoa kitambo kile Chelsea alichukua kombe la uefa na kuipokonya everton iliyokuwa nafas ya 4. Kwasasa kama man u atashida uropa zitaenda timu 5. Umeelewa hapo???
Makosa katika uandishi nilimanisha kuwa, endapo man u atashida uropa basi uefa zitashiliki timu 5 yaani kuanzia nafas ya 1 mpakq ya 4 nakishq ya 5 itakamilishwa na man u endapo watashida katika fainali ya uropa. Ila kuhusu uropa ni timu moja tu itakayo shiliki nayo ni ile itakayo kuwa katika nafas ya 5. Mkuu hapo vp umeelewa???mkuu bado sijakuelewa unachomaanisha hapa. najua europa zinaendaga timu 2 tu (namba 5 & 6). je hizo timu tano unazosema ni zipi?
Wwe shabiki wa timu gani..Mmebahatisha tu! mshukuru mungu timu kama man u man city na liva hawakua stable...tuone kama msimu ujao mtachukua!
Hongera wape Asernal ila kwa Chelsea hiyo kawaida tu
pamojahadi raha!! hongeren chama langu