Chelsea FC: Mabigwa wapya EPL 2016/2017

Chelsea FC: Mabigwa wapya EPL 2016/2017

Ama kweli ukistaajabu ya Morinyo utayaona ya Arsenal Wenga: hii timu si mwaka jana tu ilitaka kushuka daraja?! Au kocha wao ndo alikuwa mdebwedo?
 
Hata Arsenal akifanikiwa kuingia big 4 haitawasaidia kwa kuwa Man U watakapochukua kombe la Europa watawapora nafasi hiyo. Arsenal mwaka huu ana wakati mgumu sana.
Acha Uongo hiyo sheria waisha itoa kitambo kile Chelsea alichukua kombe la uefa na kuipokonya everton iliyokuwa nafas ya 4. Kwasasa kama man u atashida uropa zitaenda timu 5. Umeelewa hapo???
 
Acha Uongo hiyo sheria waisha itoa kitambo kile Chelsea alichukua kombe la uefa na kuipokonya everton iliyokuwa nafas ya 4. Kwasasa kama man u atashida uropa zitaenda timu 5. Umeelewa hapo???
mkuu bado sijakuelewa unachomaanisha hapa. najua europa zinaendaga timu 2 tu (namba 5 & 6). je hizo timu tano unazosema ni zipi?
 
mkuu bado sijakuelewa unachomaanisha hapa. najua europa zinaendaga timu 2 tu (namba 5 & 6). je hizo timu tano unazosema ni zipi?
Makosa katika uandishi nilimanisha kuwa, endapo man u atashida uropa basi uefa zitashiliki timu 5 yaani kuanzia nafas ya 1 mpakq ya 4 nakishq ya 5 itakamilishwa na man u endapo watashida katika fainali ya uropa. Ila kuhusu uropa ni timu moja tu itakayo shiliki nayo ni ile itakayo kuwa katika nafas ya 5. Mkuu hapo vp umeelewa???
 
Mmebahatisha tu! mshukuru mungu timu kama man u man city na liva hawakua stable...tuone kama msimu ujao mtachukua!
Wwe shabiki wa timu gani..
Halafu uache ubwge kusema timu kama chelsea wamebahatisha, unaonesha jinsi gan ulivo mshambenga na usiyejua mpira..
Hivi Ligi ya England nani mwenye falsafa na kabumbu safi ya mpra zaidi ya The -Bluuz..
 
Back
Top Bottom