Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,047
- 3,980
- Thread starter
-
- #20,681
Waamuzi huwa wanamezea hawatoi adhabu na hivyo hazionekani kwenye hiyo stats zako.Unaposema mabeki wa chelsea wanacheza Ruby au Mieleka, inakuwaje wanakuwa wamefanya faulo chache hivyo
Statistics
Fouls Committed
Rank Name Club Fouls
1. Mile Jedinak (CRY). 33
1. Connor Wickham (SUN) 33
3. Marouane Chamakh (CRY) 30
4. Leonardo Ulloa (LEI) 28
4. Victor Wanyama. (SOU). 28
6. Craig Gardner (WBA). 27
6. Erik Lamela (TOT). 27
8. Wilfried Bony. (SWA). 26
8. Moussa Sissoko. (NEW). 26
10. Mame Biram Diouf. (STK). 25
10. Morgan Schneiderlin (SOU). 25
12. Yannick Bolasie (CRY). 24
12. Graziano Pellè (SOU). 24
14. Etienne Capoue. (TOT) 23
15. Lee Cattermole (SUN) 22
15. Tom Huddlestone (HUL). 22
15. Vincent Kompany. (MCI). 22
15. Cheikhou Kouyaté (WHU). 22
15. Oscar (CHE). 22
15. Robin van Persie. (MUN). 22
15. Danny Rose. (TOT). 22
15. Alexis Sánchez. (ARS) 22
Sasa niambie hao mabeki wa Chelsea wanacheza Mieleka gani? Nonda
inabebwa wapi? maana hata Champions league Chelsea ndio inaongoza kwa kufunga magoli mengi msimu huu,
Numbers Don't Lie
Mind The Gap
Uzuri wa the Blues ni kuwa kila mtu anayefanya kazi kwenye timu anapata malipo stahiki bila kupunjwa, hata kama ni mfagizi tu. Haya na wale wengine jitokezeni mjicommit kuwalipa watumishi wenu kwa stahiki zao. So hata sie wabeba boksi siku tukiamua kwenda kukata majani katika pitch la chama letu tuna uhakika wa malipo ya haki bin sawia! Jioneeni wenyewe
BBC News - Chelsea FC makes living wage commitment
Chelsea FC have become the first club from the Premier League to sign up to the living wage.
The commitment means that all staff employed by the football club will receive at least £9.15 an hour if working in London and £7.85 an hour outside the capital.
Chelsea chairman Bruce Buck said: "We believe the move to the living wage underlines our commitment to ensuring that all our employees receive a fair rate of pay for their hard work and dedication. Quite simply, it is the right thing to do."
Chelsea said it would ensure the living wage was also paid for staff working for external contractors, at its Cobham training ground and other club operations by July 2017.
Mayor of London Boris Johnson said Chelsea were "setting the right example" with the move.
He added: "They realise their team is more than just the 11 men out on the pitch, and that by putting more pounds in the pockets of their staff they are signing up to a win-win scenario that rewards a hard day's work with a fair day's pay for everyone."
Unakubalina na ukweli kuwa Man United ya juzi chini ya Sir Ferguson ndio Chelsea ya Leo.?
Sir Alex alikuwa anawafanya nini waamuzi?
Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nicheke mie yaani majizi kama Chelsick ndio wa kwanza kutangaza huu uhuni ati wanalipa living wage, what a joke! Kama kweli wana nia hiyo basi wawafukuze all contractors ambao wanaajiriwa na makampuni mengine wawaajiri tuone. Typical headlines stories ambazo hazina kichwa wala mguu.
Let this thieves come out and say how many people they have employed and how much they've paid to Her Majesty's revenue. Ukiona mwizi anakimbilia kutangaza jua kuna jambo bloody thieves!
Chelsick are in the same boat as Costas et al ambao hawalipi kodi sahihi.
Waamuzi huwa wanamezea hawatoi adhabu na hivyo hazionekani kwenye hiyo stats zako.
Waamuzi wanamezea fouls nyingi wanazofanya wanamieleka na wana-rugby wa Chelsea.
Sisi watazamaji tunaziona fouls wanazofanya, lakini waamuzi na wasaidizi wao huwa wamezibwa kwa bahasha machoni.
Habari za ndani kutoka Chelsick
Itakapofika May, Morinyo kibarua kitakuwa kimeota mbawa .... ...
Meerkat on his way back ..... ...
si unajua tena hawa jamaa kwa kula matapishi yao hawajambo!
Pole meerkat pole....... ...... pole meerkat ..... ....
Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Ile dawa ambayo mlipewa kule Newcastle?Huna hoja weye Naona Hiyo Nonda inakusumbua! Ngoja nikutafutie dawa!
Ile dawa ambayo mlipewa kule Newcastle?
Vipi Sir Alex alikuwa anawafanya nini waamuzi?
Aliwatafutia waamuzi dawa?
Sir Ntuzu Chelsea, hakuna timu kama Chelsea duniani. Chelsea ni "mafia", mieleka ,ku-pack bus tactics, and rugby like football.
Wewe ukitaka kuona vipi kabumbu linasakatwa angalia New Castle wanavyoliza wazee wa mieleka. Sunderland wanavyocheza kwa mbali wanalingana na Chelsea kwa rugby na mieleka.
Kama ni mpenzi wa mieleka, mechi baina ya hizi timu mbili itakupa burudani ya kutosha.
Nakumbushia tu, hakuna kikombe kwa Chelsea kwa msimu huu.
Ntuzu ikikomaa inatafuna nini? Akili? Au mdomo?Nonda ikikomaa inatafuna uti Wa mgongo na mwisho Wa siku akili zinaharibika km hivi wewe sasa!
Ile dawa ambayo mlipewa kule Newcastle?
Vipi Sir Alex alikuwa anawafanya nini waamuzi?
Aliwatafutia waamuzi dawa?
Sir Ntuzu Chelsea, hakuna timu kama Chelsea duniani. Chelsea ni "mafia", mieleka ,ku-pack bus tactics, and rugby like football.
Wewe ukitaka kuona vipi kabumbu linasakatwa angalia New Castle wanavyoliza wazee wa mieleka. Sunderland wanavyocheza kwa mbali wanalingana na Chelsea kwa rugby na mieleka.
Kama ni mpenzi wa mieleka, mechi baina ya hizi timu mbili itakupa burudani ya kutosha.
Nakumbushia tu, hakuna kikombe kwa Chelsea kwa msimu huu.
Unajua mkuu mi nakushangaa sana inawezekana vipi timu inayocheza hivyo kama wewe usemavyo ina mchezaji moja tu kati ya kumi na tano waliocheza faulo, inakuwaje inakuwa na mchezaji aliyefanyiwa faulo nyingi (Hazard, faulo 42), inakuwaje na mchezaji aliye toa assist nyingi (Fabregas assist 11 kwenye ligi).
Najua utasema rafa wanabeba, ila kama wewe na Mashabiki wenzako wa man u ndo mnaona hivyo wala haitupi shida maana tunajua inawauma sana....it's just a drop of water in ocean
Ila pole sana halafu jua hates makes us even stronger....unafurahia sisi kufungwa na Newcastle kwa sababu ndo mlikuwa mnataka, huku nyie mmefungwa kuliko hata sisi..
Ha ha ha ha ha ha, LMFAOOOO.
Cc: Nando