Afande Nyati
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,385
- 1,414
Wote walicheza tena dakika zote
Beki Auerier,beki Maxwell,beki Marquionos na beki Silva wameumia jana
Nasisi tunaamin katika mipango
Hivi unategemea kushinda? Unafurahisha sana successor!
UEFA kitu ingine mkuu usiseme eti timu mbovu.....utakua unaota mchana
Ukishinda nakuletea kitimoto hapa hapa JF.Ushindi ni lazima, tukutane hapa baada ya mechi, usije ukapotelea kusikojulikana. Nitafurahi kukuona hapa tukisherehekea ushindi pamoja.
Kaka yako is just trying to be real. Na kujiwekea ngao kama ataambiwa ageuze na shavu la kushoto.kweli kaka, ila uwezo na mbinu ndio zitakazo amua matokeo!
UEFA kitu ingine mkuu usiseme eti timu mbovu.....utakua unaota mchana
kwa kweli nilivyo na hamu na mechi ya kesho utadhani sijawaona the Blues kwa muda mrefu sana!!! kwa kweli ukiwa kwenye mashindano mengi unaishuhudia sana timu yako. weekend iliyopita hizi mechi za FA zimenifanya niwe kama yatima. yani hakuna game la Chelsea? Lakini pia baada ya kuwatazama Sunderland wakitolewa na wale vijana (Bradford) nikashukuru kuwa ni bora tulitolewa kwenye FA. FIkiria tungecheza jana J2 na Sunderland halafu kesho J4 tunacheza na PSG. Au hata mechi ya FA ingewekwa J1 halafu J4 tucheze na PSG hizi mechi zingekuwa karibu karibu sana ukichukulia tulikuwa tumecheza na Everton J5 iliyopita. Kwa kweli baada ya mechi ya J5 iliyopita tumekuwa na wiki nzima ya kujiandaa na PSG na kwa kufanya hivyo hata tumeepuka majeruhi wapya na akina Fag wamepona zaidi! na of course mzee mzima Diego is back!!!
Kwa kweli lile juma takatifu ndo linaanza. Kesho namhurumia beki wetu wa zamani manywele atakavyokimbizwa na kuzungushwa!!! NNa uhakika wa ushindi wa ugenini kesho, tena ushindi mzuri sana. Na hapo ndipo mtaona, msioamini kuwa this UEFA Champion League mwaka huu ni yetu!
Ukishinda nakuletea kitimoto hapa hapa JF.
Unahitaji kupongwezwa? Wewe unawapongeza wacheza mieleka na rugby wanaposhinda? Hamna shida kama unapenda kupongezwa. Na usiposhinda, nifanye nini? Naomba mwongozo wako.Na nikishinda usije hapa na visingizio, maana wewe huishiwi maneno. Natumaini utakuja hapa kunipongeza kwa ushindi mzuri wa ugenini nitakaoupata.
Kama huna jipya la kuandika, jikalie kimya tu. Umendika nini hapa?Your attempts at defaming Chelsea are very poor!