Ntuzu hii mechi na Westham nilikuwa na wasiwasi nayo sana........
Kikubwa lkn ambacho nilikuwa nakihofia ni kubweteka (complacency). bado vyote hivi ni vitu vya ujana. vinaja wangeweza kubweteka kirahisi kuwa sisi ni mabingwa baada ya kale kaushindi katamu ka Capital One juzi. Hii yote ingekuwa mbaya kwa game hii, ukichukulia Big Sam anakuwaga na usongo!!!
...!
Maana yake ni : Mwamuzi alimezea na kumwacha aliyeotea awafanye ninyi mfurahi.Nonda tufundishane kiinglish hapo. "off - side by the hair's breath" manake nini hiyo statement?
Mnapobebwa hakuna kulalamika, linajulikana hilo. Lakini timu pinzani hawapigi domo kama Chelsea na Mourinho.
Hawalalamiki kuwa kunafanyika hila.
West Ham manager Sam Allardyce: "I believe the performance was magnificent. Their goalkeeper made some fantastic saves. I think the goal is offside by a hair's breadth.
"These decisions need to go for you, not against you. In saying all that we shouldn't have lost it in the chances we missed.
Link BBC Sport - West Ham United 0-1 Chelsea
Wewe ni shabiki wa Chelsea hulaumiki kufurahia kubebwa.
chelsea mabingwa tu
Ntuzu hii mechi na Westham nilikuwa na wasiwasi nayo sana. mwaka huu the hammers wako vizuri kuliko mwaka jana, though walitufunga kwenye hizi critical stages mwaka jana. Pia hofu yangu kubwa ilikuwa ubingwa wa juzi wa Capital One! unajua timu ina vijana wengi na kama kawaida ya vijana,kujirusha ndo zao!!! na kama ujuavyo wenzetu wanaishi majumbani kwao, hawana kuweka kambi! so nikawa na hofu kuwa huenda akina Hazard ktk kusheherekea kikombe,walienda zao Billicanas za London na kujirusha mpaka time mbovu, na kupoteza match fitness yote.
Kikubwa lkn ambacho nilikuwa nakihofia ni kubweteka (complacency). bado vyote hivi ni vitu vya ujana. vinaja wangeweza kubweteka kirahisi kuwa sisi ni mabingwa baada ya kale kaushindi katamu ka Capital One juzi. Hii yote ingekuwa mbaya kwa game hii, ukichukulia Big Sam anakuwaga na usongo!!!
namshukuru Mungu kwa kutuchagua waja wake tufurahi. Tuendelee kukaza buti mpaka May. Next game ni Champions League!!! Tukiwatoa PSG itakuwa burudani hapa jukwaani!
yupo kwa mkopo tu
Katoka kutufanya mbaya muda mfupi uliopita
Umekuwa na jibu lako mfukoni? Nimekujibu, au ndio kiswahili pia ni shida kwako?jibu sasa swali langu la kwanza mbona hujajibu
Kama hiyo huielewi, jaribu kufahamu hii.Nonda tufundishane kiinglish hapo. "off - side by the hair's breath" manake nini hiyo statement?
Pole sn mkuu, dogo ni mzuri ingawa ana makosa kidogo lkn yuko vzr sn iwapo anapewa nafasi ya kucheza mara nyingi.
Kama hiyo huielewi, jaribu kufahamu hii.
The instinct was that the cross found Hazard in an offside position and the replays suggested as much.
link West Ham vs Chelsea match report: Eden Hazard scores only goal in tight contest as Chelsea continue march towards the title - Premier League - Football - The Independent
Mzuri au ndio aine ya wale wachezaji wanaowika na mid-table clubs?