Mkuu mi nimekualika utoa maoni yako yoyote yale kwa uhuru kabisa ndio maana nimekuita. Lkn km isingelikua hivo ningewaita mashabiki wa chelsea tu maana nawafahamu vzr. Lkn kwasababu tunahitaji mawazo kutoka pande zingine au kwa wakosoaji wetu ndio maana nikakuita....
Nikuombe tena km utapenda ulete utoe maoni yako......
Umeangalia mechi ya jana Arsenal vs Man (dis)United. Ingawaje haikuwa na mvuto sana kimpira nilivyouona mimi lakini matokea yalienda kwa timu pinzani.
Umechambua vya kutosha kuhusu vikosi vya Chelsea na PSG kuwa havina majeruhi. Mmeshamwadhibu PSG mara kadhaa kwa hiyo tegemeeni kuwa PSG anakuja kwenu akiwa kama faru/ kiboko/nyati aliyejeruhiwa.
Chelsea atacheza kwa tahadhari sana ili kuepusha PSG asifunge bao la ugenini. Kama ilivyo kawaida ya Mou atatumia ku-pack basi lake ili hilo lisitokee.
Mechi itakuwa na msisimko kuliko ile ya Arsenal na Man. United jana.
Kwa maoni yangu naona Chelsea atapigwa mtama leo. Kwa hiyo wacha nikupe "pole" kabisa. Nikirudi hapa ni kwa kumsalimia Kalou tu na kumwomba aniazime ile kamusi ya "maneno nzito nzito"
Ntuzu ahsante kwa mualiko
Naona wewe na Mentor mnapendekeza a more defensive approach Vs PSG, wakati kalou anataka muende all guns blazing, kila la kheri
Nimemuelewa sana Manumbu na nadhani approach yake iko well balanced, kama mkicheza kwa formation ya 4-1-2-3, golini 'Kotwaa' 4 (JT, Zouma, Azplicueta, Brana) - 1 (Matic) - 2 (Ramires & Fabregas) - 3 (Hazard, Costa, Willian)
Ni game ya akili mingi sana, ukishambulia sana na kuacha mlango wazi utafungwa, mkipark bus mtaalika mashambulizi mengi na kuongeza chances za kufungwa, busara ni kucheza a balanced game.
Match itaamuliwa kwenye midfield, mkiwaacha Motta, Matuidi na dogo Veratti wacheze kwa uhuru then mtaaga mashindano, mkiweza kuwacontain hawa then hamtapata usumbufu wa Ibra na Cavani.
Lakini pia ni muhimu kwa Zouma kuanza badala ya Cahill, bwana Cahill alishindwa kabisa kumdhibiti Ibra kwenye game 1 na hata goal la kusawazisha lilitokana na makosa yake, Zouma ana wajua vizuri PSG, ana nguvu na mwepesi kuliko Cahill
PSG wameshuka kiwango kidogo tofauti na msimu uliopita, lakini kwa kiasi kikubwa ni team ileile, wakati Chelsea imeimprove tofauti na msimu jana, the game is yours to lose.
Umeangalia mechi ya jana Arsenal vs Man (dis)United. Ingawaje haikuwa na mvuto sana kimpira nilivyouona mimi lakini matokea yalienda kwa timu pinzani.
Umechambua vya kutosha kuhusu vikosi vya Chelsea na PSG kuwa havina majeruhi. Mmeshamwadhibu PSG mara kadhaa kwa hiyo tegemeeni kuwa PSG anakuja kwenu akiwa kama faru/ kiboko/nyati aliyejeruhiwa.
Chelsea atacheza kwa tahadhari sana ili kuepusha PSG asifunge bao la ugenini. Kama ilivyo kawaida ya Mou atatumia ku-pack basi lake ili hilo lisitokee.
Mechi itakuwa na msisimko kuliko ile ya Arsenal na Man. United jana.
Kwa maoni yangu naona Chelsea atapigwa mtama leo. Kwa hiyo wacha nikupe "pole" kabisa. Nikirudi hapa ni kwa kumsalimia Kalou tu na kumwomba aniazime ile kamusi ya "maneno nzito nzito"
kumbe una akili hata ya kuchambua soka!' ......... ulisemaga chelsea ni timu ya divers!'
Grand PA
Asante sn mkuu,
Unaonaje uwezo wa makocha sasa ktk upande wa mbinu, kwamba Laurant Blanc anaweza akawa bingwa wa mbinu ktk huo mchezo au bwana Happy One ndo atakua kidedea ktk huo upande? Au tunaweza kusema Buruda Ancelotti km angekua bado yupo PSG ndo angeweza kumsumbua Mou?
Siwezi kusema nnazo akili au nnazo akili za kuchambua soka. Hilo ni juu ya yako kuamua. Kusema kuwa Chelsea ni timu ya rugby/mieleka na divers ni kutokana na replays za fouls na jinsi ambavyo wachezaji wa Chelsea huwa wanawabamiza wachezaji wa timu pinzani.kumbe una akili hata ya kuchambua soka!' ......... ulisemaga chelsea ni timu ya divers!'
Grand PA
Umesikia ahadi walizopewa/walizoahidiwa wachezaji wa PSG?Binafsi Nonda kanifurahisha sn, na nimatumaini yangu tutapata uchambuzi mzuri sn toka kwake.
No. If somebody puts on the table 250,000 to win a certain match its nice but I think professionalism goes beyond that. Dont take this the wrong way but, for me, whats more important is the happiness and pride of success, more than the money.
Football is about our passion for the game, the happiness and the pride of victories. They have no price.
Asante sana manumbuhii game itakuwa ngumu sana ... au unaweza shangaa ikawa nyepesi sana. it all depends on the perfection ya strategy za kila timu. nakumbuka mwaka uleeee, chelsea ilimpiga Barcelona (ya akina Ronaldinho) bao 3 ndani ya dkk 15 za kwanza...enzi za akina Damien Dunn, Arjen Robben na wengineo chini ya huyu huyu Maurinho. Nna gut feelings kuwa Maurinho atataka kuirudia ile strategy ya kupata mabao walau mawili ndani ya 30 minutes za mchezo wa kasi sana ili kuwatibua PSG. na kwa kasi hiyo nadhani atahitajika kucheza 4 - 3 - 3 au 4 - 1 - 2 - 2 -1 wakiwemo Hazard, Willian na Ramires ili waweze kukimbiza sana. of course Costa atakuwa kule mbele kabisa. kwa mawazo yangu timu itakayoanza kwa formation zote hizo mbili itakuwa:
golini: Courtois (urefu wake ni advantage against urefu wa Ibra
Mabeki wanne ni:
1. Ivanovic
2. Azp
3. Zouma (nguvu na kasi ili amdhibiti Ibra)
4. Terry
Midfield mkabaki libero mbele ya mabeki
1. Matic (atakuwa pekee immediately mbele ya mabeki kuzuia buoyancy ya midfield ya PSG
Midfield wakabaji na watawanyaji mipira:
2 midfields:
Faby na
Ramires watakuwa katikati ya dimba (mbele ya Matic) ili kutawanya mipira kushoto na kulia kwa attacking midfields wakimbizaji yani
2. attackers: Hazard na Willian
1. Stricker wa mwisho, Costa.
kwa formation hii ambayo itakuwa ikibadilika kuwa 4-3-3 kwa Ramires kuongezeka kwenye kukimbiza huku Fabrigas akisogea mbele kukaribia D ya PSG tutakapokuwa tunashambulia itamfanya Ramires aweze kupanda na kushuka kwa kasi na mapafu yake ya mbwa.
sitegemei mchezo kuanza kwa taratibu au sisi kupack basi tukisubiri counter attacks. nategemea kuwarudisha nyuma PSG ili akina Cavani warudi kusaidia ulinzi. defensively tukishambuliwa tutaanza kukaba tokea kwenye 18 ya PSG. Hazard na Willian na hata Costa wataanza kukaba immediately tukipoteza mpira. na kama willian atakuwa akikaba akiwa kwenye position ya 18 ya PSG upande wa kulia, basi tegemea Hazard atakuwa ameanza kushuka kurudi kwa Azp upande wa kushoto, same as Fab. hii itaongeza watu 2 mpaka 3 katikati ya uwanja in addition to uwepo wa Ramires na Matic. hivyo tukishambuliwa tayari tutakuwa kwenye 4 - 5 - 2 mode immediatey ili kupunguza nguvu za midfield ya PSG kupeleka mipira pembeni au kukata chenga. tutakuwa makini sana na set pieces manake uwepo wa Ibra na Cavani hewani unaweza sumbua.
Binafsi nadhani tutafurahi kuwa mashabiki wa Chelsea kesho manake level ya elevation ya uchezaji itakuwa juu sana. nadhani baada ya kesho ndipo ubingwa utakuwa de facto stamped kwetu kwa kiwango cha juu sana cha uchezaji na precision tutakachokionesha. nawaonea raha na gere mashabiki watakaokuwa uwanjani, manake viti havitakalika kwa sehemu kubwa sana ya mchezo wa kesho!!! na Mungu atubariki Chelsea kesho!!
Kwa upande wangu Hakuna chochote mpendwa ila ni power of speech, maneno yana nguvu sana na yanabadilisha mambo,halafu ukiwa unashindana na adui yako ambaye naye anakuhofia kiasi fulani ukimwambia maneno ya kumshusha sometime huwa yana muondolea confidence na kumpoteza uelekeo kabisa, hii ndo siri ya Mo anajua nguvu ya maneno....... Na kiukweli inamsaidia sana.